Frame ya biashara Lumumba Mwanza

Frame ya biashara Lumumba Mwanza

Mwanza sales

Senior Member
Joined
Nov 17, 2015
Posts
193
Reaction score
87
Ina kodi ya miaka 8,imetazama barabara unaweza kuuza vipodozi, vitenge, mashuka mapazia, nguo n.k, ipo lumumba Mwanza mjini 0717072172
 
Imeshalipwa anaekuja ataishi miaka 8 bila kulipa kodi
Hujatoa utaratibu unaoeleweka mkuu,
hakuna kitu kama hichi - 'bila kulipa kodi', unapaswa utoe muongozo unaoeleweka bei ni ngapi..?
 
Angalau nimekuelewa, kimsingi biashara nyingi za maeneo ya mjini huwa zinamikataba ya mda mrefu kati ya mmiliki na mfanyabiashara, hivyo mwenye eneo kwa sasa anataka 120M ili akupishe uishi kwa miaka nane ndio uje ulipe kodi, na hapa ni kwa kuzingatia sheria na kanuni za nchi
 
Ina kodi ya miaka 8,imetazama barabara unaweza kuuza vipodozi, vitenge, mashuka mapazia, nguo n.k, ipo lumumba Mwanza mjini 0717072172
Frame imeshalipiwa kodi ya MIAKA 8, huyu unaemualika hapa atatakiwa akulipe shillingi ngapi ili aifanyie kazi.?

Maana usilete maswala ya kudanganya watu, eti kwa kuwa imelipiwa basi atakaekuja atakaa bure.

Weka bei ili kabla mtu hajaamua kukufata ajipime kwanza uwezo wake kipesa.
 
Angalau nimekuelewa, kimsingi biashara nyingi za maeneo ya mjini huwa zinamikataba ya mda mrefu kati ya mmiliki na mfanyabiashara, hivyo mwenye eneo kwa sasa anataka 120M ili akupishe uishi kwa miaka nane ndio uje ulipe kodi, na hapa ni kwa kuzingatia sheria na kanuni za nchi
1,250,000/- Tsh./ Mwezi.
 
this makes sense,
Hili ulipaswa sasa uliweke pale juu kabisa kwenye tangazo lako mkuu ili kuepusha baadhi ya maswali yanayojibika...!
 
Hapo mtaji lazima uwe mkubwa na maokoto yawe ya maana
Kabisa kaka, hapa unatakiwa uwe angalau na milioni 250 ndio utaelewa biashara, na uwe unaagiza bidhaa mwenyewe kutoka nje, China india turkey nk, hapo utaona faida sana
 
Angalau nimekuelewa, kimsingi biashara nyingi za maeneo ya mjini huwa zinamikataba ya mda mrefu kati ya mmiliki na mfanyabiashara, hivyo mwenye eneo kwa sasa anataka 120M ili akupishe uishi kwa miaka nane ndio uje ulipe kodi, na hapa ni kwa kuzingatia sheria na kanuni za nchi
Kwa hiyo kwa mwaka kodi ni Tsh 15,000,000/=! Na kwa mwezi ni Tsh 1,250,000/=

Hapo wakija na wale wanyonyaji TRA wakichukua ile 10% ya kodi kwa mwaka, aisee lazima uchakae. Hapo uwe na mtaji wa kuanzia milioni 100 ndiyo utaambulia chochote.
 
Back
Top Bottom