Druggist
JF-Expert Member
- Nov 10, 2010
- 439
- 528
Nakodisha Frame 3 za biashara Katoro-Geita.Zipo Barabara ya CCM (Mkabala na Kituo Cha Afya Katoro),zinatazamq Rami.Ukubwa:Mbili zina Ujazo wa Meta za Mraba 26.5 na Moja ina Ujazo wa meta za Mraba 32.5.
bei ni 2m Kwa Mwaka (kubwa) na 1.5m Kwa Mwaka Kwa zile ndogo.Eneo lipo Meta 150 toka frame za CCM,Meta 300 toka Frame za Katoliki.
Mawasiliano:0786-258617
bei ni 2m Kwa Mwaka (kubwa) na 1.5m Kwa Mwaka Kwa zile ndogo.Eneo lipo Meta 150 toka frame za CCM,Meta 300 toka Frame za Katoliki.
Mawasiliano:0786-258617