Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
France-Albert René maarufu kama The Boss.
Alikuwa Rais wa pili wa visiwa vya[nchi ya] Seychelles aliyehudumu katika uongozi wake toka mwaka 1977 mpaka 2004.
Aliitwaa nafasi hiyo kupitia mapinduzi yaliyofanyika 1977 yaliyofadhiliwa na nchi ya Tanzania.
Chini ya uongozi wake Seychelles iliweza kukua kiuchumi na kuwa moja ya nchi iliyoendelea zaidi katika bara la Afrika.
The Boss aling'atuka uongozini 2004 na kumuachia makamu wake James Alix Michel.
René alifariki tarehe 27 February 2019.