Umeiona ngozi yake lakini? Angekuwa kipilipili hadi leo wangekuwa wanachinjana nchi imevurugika kwa kiwango cha kutisha!Apumzike kwa amani,na anastaili pongezi kwa kuujenga imara uchumi wa seychelles.
Ni kweli,kwa msaada wa mitandao kadhaa niliyopitia hadi leo hii population yao ni 108,308.Wanazidi.
Yah ni mtu mweupeUmeiona ngozi yake lakini? Angekuwa kipilipili hadi leo wangekuwa wanachinjana nchi imevurugika kwa kiwango cha kutisha!
JW ni jeshi lenye heshima sana Africa.Na walioenda kutuliza ghasia na kuhakikisha Seychelles Hali inakuwa shwari hadi huyu mwamba akapewa nchi walikuwa wanajeshi kutoka Tanzania chini ya Brigedia Hashim Mbita....(halafu Kuna gen Z wanaongea ongea hawajui historia ya JWTZ Kwamba ni miamba toka kitambo)na Brigedia Hashim Mbita alioongoza Seychelles kwa muda...
Gen Z wanasema hivyo kwa sababu kizazi cha mabadiliko JWTZ sasa hakipo tofauti na awali mwalimu alipata kashi kashi nyingi wakati wa utawala wakeNa walioenda kutuliza ghasia na kuhakikisha Seychelles Hali inakuwa shwari hadi huyu mwamba akapewa nchi walikuwa wanajeshi kutoka Tanzania chini ya Brigedia Hashim Mbita....(halafu Kuna gen Z wanaongea ongea hawajui historia ya JWTZ Kwamba ni miamba toka kitambo)na Brigedia Hashim Mbita alioongoza Seychelles kwa muda...
Na walioenda kutuliza ghasia na kuhakikisha Seychelles Hali inakuwa shwari hadi huyu mwamba akapewa nchi walikuwa wanajeshi kutoka Tanzania chini ya Brigedia Hashim Mbita....(halafu Kuna gen Z wanaongea ongea hawajui historia ya JWTZ Kwamba ni miamba toka kitambo)na Brigedia Hashim Mbita alioongoza Seychelles kwa muda...
Wewe Mamndenyi hiki ndicho kingereza unachowafundisha watoto wetu huko shuleni.Intelligent people never died.
Please ask your question in English.Wewe Mamndenyi hiki ndicho kingereza unachowafundisha watoto wetu huko shuleni.
Uko sahihi kabisa 👍hassan ngwilizi
abdulrahman shimbo
Alikuwa Ngwilizi. Huyo Mbita alihusika ukombozi wa nchi za kusini. Kimsingi Tanzania ilishawahi kuitawala Uganda na Seychelles kwa muda.Na walioenda kutuliza ghasia na kuhakikisha Seychelles Hali inakuwa shwari hadi huyu mwamba akapewa nchi walikuwa wanajeshi kutoka Tanzania chini ya Brigedia Hashim Mbita....(halafu Kuna gen Z wanaongea ongea hawajui historia ya JWTZ Kwamba ni miamba toka kitambo)na Brigedia Hashim Mbita alioongoza Seychelles kwa muda...