France kauza mechi yake dhidi ya Tunisia..! Hata World Cup mechi zinauzwa

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Kwa mnaofuatilia kombe la dunia hasa mechi za France, France ni timu kali sana
Cheki mechi dhidi ya Australia, Denmark kisha angalia mechi ya leo dhidi ya Tunisia

Hawa jamaa japo walikuwa wameshavuka na kuchezesha kikosi cha pili, lakini wamecheza wakiwa wamelegea mnoo, yaani kiwango chao kilikuwa 30% ya uwezo wao

hata goli lenyewe la Tunisia lilivyofungwa ilikuwa mfungaji kaachiwa tu na wale mabeki
 
Unaweza thibitisha hili?

Ushawahi cheza mpira? au unaongea tu.

Ufaransa ukitoa Ile first eleven Yao wachezaji waliopo bench ni wakawaida tu.

Mechi hata ikiuzwa huwezi jua kirahisi kama unavozani Juventus msimu anashushwa daraja kwa upangaji matokeo zile mechi zake ukiziangalia huwezi hata jua kama walipanga matokeo.
 
umechana mkeka nini....

unadhani france kama majimaji ya songea inaweza kuuza mechi au
 
Sija bet ila kuuza mechi sio lazima uwe masikini, kwani unafikiri kombe la dunia mechi haijawahi kuuzwa na ikathibitishwa?
Jaribu ku Google match fixing world cup
 
Sasa kama kauza match basi angeachia goals nying goal 1 kwa Tunisia aina faida tunisia inatoka tu
 
Unaweza thibitisha hili?

Ushawahi cheza mpira? au unaongea tu.

Ufaransa ukitoa Ile first eleven Yao wachezaji waliopo bench ni wakawaida tu.

Mechi hata ikiuzwa huwezi jua kirahisi kama unavozani Juventus msimu anashushwa daraja kwa upangaji matokeo zile mechi zake ukiziangalia huwezi hata jua kama walipanga matokeo.
Ameshazoea utopolo wauza mechi
 
Kwa hyo mbape na wachezaji wenzake wale pamoja na kocha unadhani wana njaa kama wachezaji wa bongo hawa wanaopewa bahasha na utopolo halafu ww itakuwa ni mshabiki wa yanga maana ndio mambo yenu hayo.
 
Sija bet ila kuuza mechi sio lazima uwe masikini, kwani unafikiri kombe la dunia mechi haijawahi kuuzwa na ikathibitishwa?
Jaribu ku Google match fixing world cup
Cyo kila unachokiona kwenye mtandao ni kweli kha
 
Pole kwakuchaniwa mkeka, kifupi tu nikiwa vijana wamepambana na France hawajauza mechi ila wamechemka tu. Hata Jana Senegal alipindua meza akasonga mpira hauchezwi kwakufuata mkeka wako.
Huku kuna watu wazushi wazushi kisa Wana vihela vya bando. Ukimwambia thibitisha Hana analojua. Timu imefunga goli likakaktaliwa Kwa VAR tena dakika ya 8 na ya mwisho ya nyongeza halafu Mtu wa Kimbiji Kwa sababu amezoea vistory vya umbea anasema France wameuza Mechi.
 
Sio kweli, France walifunga goli likakataliwa na VAR.
 
Soko lake like mitaa gani hapa Qatar na sisi Cameroon tukanunue leo
 
Back
Top Bottom