Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
umechana mkeka nini....Kwa mnaofuatilia kombe la dunia hasa mechi za France, France ni timu kali sana
Cheki mechi dhidi ya Australia, Denmark kisha angalia mechi ya leo dhidi ya Tunisia
Hawa jamaa japo walikuwa wameshavuka na kuchezesha kikosi cha pili, lakini wamecheza wakiwa wamelegea mnoo, yaani kiwango chao kilikuwa 30% ya uwezo wao
hata goli lenyewe la Tunisia lilivyofungwa ilikuwa mfungaji kaachiwa tu na wale mabeki
Sija bet ila kuuza mechi sio lazima uwe masikini, kwani unafikiri kombe la dunia mechi haijawahi kuuzwa na ikathibitishwa?umechana mkeka nini....
unadhani france kama majimaji ya songea inaweza kuuza mechi au
Sasa kama kauza match basi angeachia goals nying goal 1 kwa Tunisia aina faida tunisia inatoka tuSija bet ila kuuza mechi sio lazima uwe masikini, kwani unafikiri kombe la dunia mechi haijawahi kuuzwa na ikathibitishwa?
Jaribu ku Google match fixing world cup
Sas tuinisia angepita sema Australia kamfunga DenmarkSasa kama kauza match basi angeachia goals nying goal 1 kwa Tunisia aina faida tunisia inatoka tu
Ameshazoea utopolo wauza mechiUnaweza thibitisha hili?
Ushawahi cheza mpira? au unaongea tu.
Ufaransa ukitoa Ile first eleven Yao wachezaji waliopo bench ni wakawaida tu.
Mechi hata ikiuzwa huwezi jua kirahisi kama unavozani Juventus msimu anashushwa daraja kwa upangaji matokeo zile mechi zake ukiziangalia huwezi hata jua kama walipanga matokeo.
Cyo kila unachokiona kwenye mtandao ni kweli khaSija bet ila kuuza mechi sio lazima uwe masikini, kwani unafikiri kombe la dunia mechi haijawahi kuuzwa na ikathibitishwa?
Jaribu ku Google match fixing world cup
Huku kuna watu wazushi wazushi kisa Wana vihela vya bando. Ukimwambia thibitisha Hana analojua. Timu imefunga goli likakaktaliwa Kwa VAR tena dakika ya 8 na ya mwisho ya nyongeza halafu Mtu wa Kimbiji Kwa sababu amezoea vistory vya umbea anasema France wameuza Mechi.Pole kwakuchaniwa mkeka, kifupi tu nikiwa vijana wamepambana na France hawajauza mechi ila wamechemka tu. Hata Jana Senegal alipindua meza akasonga mpira hauchezwi kwakufuata mkeka wako.