Sichezagi na wahindi au makampuni ya kubet ndg ikitokea nimebet basi nafanya na mtu anayekuwa amenibishia na akawa interestedSasa hiyo ni bure ama anainunua kwa milioni moja yake? Nenda tu mkeka bet au m-bet kaweke mzigo wako wote alafu usubirie.
Hahahaaaa....Mkuu baba yenu usiogope mwambie Nifah aweke jiwe au ajidhamini yeye mwenyewe ww uweke hiyo M, Portugal bingwa hii itakuwa kama final ya euro 2004 wkt ureno akiwa mwenyej final akakutana na greece hakuna aliyempa nafas ugiriki hatimae akabeba ndoo sasa leo nyota imewaka kwa PORTUGAL.
Hahahaha mbona ni sawa ma bure kama unaiamin France weka mzigoMimi nipo tayari lakini sina 1. Mil...
Kama unaitoa bure sema tukutane Catalunya...
Mimi nasema France anashinda.
[emoji5][emoji5]
Mwanangu hayo mambo ya kuweka jiwe tuliyafanya tukiwa chuo kama unaiamin France mbona pesa hii ni ya kwakoUmesema m1 ya bure,then unataka mtu mwingine aweke m yake,ungesema m1 ya bure unabet portugal anashinda na anaebisha aweke jiwe france ikishinda anachukua m na iwapo portugal ikishinda mkuu unachukua jiwe
Njoo Catalunya baadae na M mkononi tumalize ubishiHahahaaaa....
Namsubiri.
Unajua kweli kutambua "fursa"Mimi nipo tayari lakini sina 1. Mil...
Kama unaitoa bure sema tukutane Catalunya...
Mimi nasema France anashinda.
[emoji5][emoji5]
Hahaha hata wewe inaweza kiwa fursa kwakoUnajua kweli kutambua "fursa"