Francesco Toti: Mzalendo mkongwe aliyegeuka Mkombozi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kwenye game ya jana wakiwa nyumbani kwao dhidi ya Torino aliingia uwanjani dk ya 86 , timu yake ya Roma ikiwa nyuma kwa 2 - 1.

akafunga goli la kusawazisha dk hiyohiyo ya 86 na akapachika la ushindi kwenye dk ya 89

ikumbukwe kwamba gemu iliyopita pia aliingia dk za majeruhi na kuokoa timu yake .

My Take - Mkubwa Dawa .
 
Leo nakubaliana na wewe.

Mkubwa Dawa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…