GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Mar 17, 2015 #41 fresh ya shamba said: Acha utoto wako wa kuchanganya herufi kubwa na ndogo wewe jitambue Click to expand... Mtanuna Na Kuchukia Sana Mwaka Huu. JF Ina Members Zaidi Ya Laki Bee Hivyo Sioni Taabu POPOMA Wawili Watatu Kama Wewe Mkiweweseka Nami.
fresh ya shamba said: Acha utoto wako wa kuchanganya herufi kubwa na ndogo wewe jitambue Click to expand... Mtanuna Na Kuchukia Sana Mwaka Huu. JF Ina Members Zaidi Ya Laki Bee Hivyo Sioni Taabu POPOMA Wawili Watatu Kama Wewe Mkiweweseka Nami.
mgosani JF-Expert Member Joined Dec 25, 2014 Posts 1,005 Reaction score 1,136 Mar 17, 2015 #42 Mkuu Amavubi Ahsante kwa updates kumbe bondia bado convict ila amekuwa sentenced kutumikia kifungo cha nje.
Mkuu Amavubi Ahsante kwa updates kumbe bondia bado convict ila amekuwa sentenced kutumikia kifungo cha nje.