Francis Cheka atandikwa na Dulla Mbabe

Francis Cheka atandikwa na Dulla Mbabe

kwenye boxing hakuna kudhalilika huo ni mchezo km soka tu kupiga ama kupigwa ni kawaida,hiyo sio siasa
Ukitaka kuamini boxing na mpira tofauti, boxing mara nyingi mtu hulipwa kulingana na rekodi yako ilivyo.

Huwezi kukuta bondia kama Floyd Mayweather apambane pambano chini ya bilioni 10 ,na pia ni vigumu Floyd apambane na bondia mwingine kisha kuwe na 50% kwa 50%.
 
kwa hiyo hapa mbongo ndo dulla mbabe kadhihirisha ufalme wake sasa amaaaaaaa
 
...Umri ushamtupa mkono,hivi bongo viwango wanavyopokea katika pambano huwa vinawekwa wazi?
 
Uyo Dulla Mbabe bado hana ngumi za maana angekua na ngumi heavy ungekuta kalimaliza lile pambano muda mrefu maana kuna time alikua anamfanya cheka kama Punching Bag ...still hakuna KO.

Ila truth be told, walikua wanapigana kama amateur vile...yani bado Tanganyika sijaona mtu anayeweza kua World Class pro Boxer.

Aisee bado....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hujajua ngumi na utachelewa sana kuzijua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanacho uzi hwa jamaa mpaka nikaacha kuwakuwafatilia linapokuja swala la kuuza mapambano ya nje
 
Kila zama na kitabu chake, it's time now kwa Cheka kuwaachia vijana.
 
Back
Top Bottom