Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Bora astaafu tu maana anazidi kudhalilika.Cheka kachoka saa hz hapigi tizi km zamani dulla yupo on fire sana nilihisi tu cheka kupoteza tena kajitahidi kufika raundi ya sita!
kwenye boxing hakuna kudhalilika huo ni mchezo km soka tu kupiga ama kupigwa ni kawaida,hiyo sio siasaBora astaafu tu maana anazidi kudhalilika.
Soka ni soka,boxing ni boxing tofautisha hapo ,ni vitu viwili tofauti.kwenye boxing hakuna kudhalilika huo ni mchezo km soka tu kupiga ama kupigwa ni kawaida,hiyo sio siasa
Ukitaka kuamini boxing na mpira tofauti, boxing mara nyingi mtu hulipwa kulingana na rekodi yako ilivyo.kwenye boxing hakuna kudhalilika huo ni mchezo km soka tu kupiga ama kupigwa ni kawaida,hiyo sio siasa
Sana sana walipokutanishwa Friday Night Live walitambiana sana nusura wazichape.mh tmbo zao tu mimi ndo zilikuwa zanikosha hasa dulla mbabe dah jamaa anatambo kama zotee
hujaelewa na hutokaa uelewe..nice nightSoka ni soka,boxing ni boxing tofautisha hapo ,ni vitu viwili tofauti.
Sawa, kakojoe ukalale.hujaelewa na hutokaa uelewe..nice night
Bado hujajua ngumi na utachelewa sana kuzijua.Uyo Dulla Mbabe bado hana ngumi za maana angekua na ngumi heavy ungekuta kalimaliza lile pambano muda mrefu maana kuna time alikua anamfanya cheka kama Punching Bag ...still hakuna KO.
Ila truth be told, walikua wanapigana kama amateur vile...yani bado Tanganyika sijaona mtu anayeweza kua World Class pro Boxer.
Aisee bado....
Sent using Jamii Forums mobile app