Francis Majige Nanai steps down as TPSF Executive Director

Francis Majige Nanai steps down as TPSF Executive Director

Informer

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,606
Reaction score
6,672
1FD5E9AD-2388-4608-AED0-B83D4A3448B4.jpeg
 
Aligombea nafasi za kisiasa kupitia chama kongwe cha CCM, hiyo imeleta mtafaruku ktk jukwaa hili la wafanyabishara Tanzania


9 Jul 2020 — Chanzo chetu kinabainisha kuwa aliyekuwa kiongozi wake mkuu, Francis Nanai alikuwa akilazimisha habari za kuibeba serikali, na CCM .....

6DB71506-AD7D-4F66-97F5-4EC7E130EB13.jpeg



Nanai alitangaza kujiuzulu Juni 30, 2020.....
alikuwa akitajwa kulazimisha aina ya story za kwenda, nyingi zikiwa zimechujwa kwa kiwango kikubwa.

Je, Mainstream Media yetu iko salama?

===
Kampuni ya Mwananchi kukwama zaidi. Nanai ang’atuka
Kushuka kwa mapato ya mauzo ya gazeti la Mwananchi na kuzuiwa kwa matangazo mengi toka taasisi na mashirika ya umma na serikali kunaongeza uchungu katika mlolongo wa changamoto za ustawi wa gazeti hilo kwa sasa.

Kwa muda mrefu sasa, gazeti hilo limekuwa likichechemea kiuchumi huku taarifa za ndani zikionyesha kuwa limeanza kuelemewa na madeni yanayotokana na gharama za uendeshaji, hasa uchapaji. Gharama kubwa katika uchapaji zinahusisha ununuzi wa karatasi, wino, umeme na usafirishaji. Pia zipo gharama za uendeshaji....
 
Aligombea uspika kupitia chama kongwe cha CCM, hiyo imeleta mtafaruku ktk jukwaa hili la wafanyabishara Tanzania
Mkuu huyu jamaa aliwahi pia kugombea ubunge kwa tiketi ya ccm , inasemekana hakuguswa hata na kifo cha Azory alipokuwa Mwananchi , mnadhani alikuwa nani huyu ?
 
Mkuu huyu jamaa aliwahi pia kugombea ubunge kwa tiketi ya ccm , inasemekana hakuguswa hata na kifo cha Azory alipokuwa Mwananchi , mnadhani alikuwa nani huyu ?

Hiki chama kongwe CCM kikijingiza sehemu, basi mambo huharibika. TPSF wamefanya maamuzi sahihi kumwekea mbinyo ajiuzulu ili wafanyabiashara na wawekezaji wawe na imani na mazingira ya uwekezaji n.k nchini Tanzania


https://www.tanzaniainvest.com › fr...
Francis Majige Nanai New Director of Tanzania Private Sector ...

4 Dec 2020 — Francis Majige Nanai was appointed new Executive Director of the Tanzania Private Sector Foundation (TPSF).
Francis Majige Nanai bunge from www.tanzaniainvest.com
:
 
Huyu ni mjomba wa rafiki yangu kutoka Ramadi. Shida jamaa mkiwa mnaongea haishi kumtaja mjomba wake Francis nanai. Mwezi january alikuwa DSM basi kila saa anatuma picha akiwa na anko. Ngoja nimuonyeshe hii taarifa.
 
Tpsf walinichosha kumchukua yule dada aliyekuwa Tanzania Freight forward association au Truck owners association.
Yule mwenye kusuka nywele za uzi somebody Ngaluma angelina sijui.

Alikuwa Bonge moja la chawa wa JPM alikuwa anavizia hizi nafasi za kuteuliwa na JPM. Bowing down to the fullest mpaka kutenda kazi alisahau. TPSF wafagie uwanja wao wana chawa wengi sana wa ccm ndani wanaosubiri teuzi.
 
Back
Top Bottom