Franco Mtui apooza mwili mzima



duh! mashikaji zako walikuwa akina NIcas? Duh! haya bwana

baraka unayemzingumzia ni yupi BIG RON au PISHI?
 

watoto wa kishua ...line wamezikuta hivyo wao waliunganisha tela tuuu

halafu wabongo mnapenda kudrop surnames duh!
 
Majina kuwa alphabetical ina uhusiano gani na hali iliyopo?

Mke wake played a big part? I thought ndiye wa kwanza hasa kubeba hilo jukumu, nani mwingine ulitarajia aplei hiyo role?

Shisha...kwanza imewekwa wazi na wengi humu kuwa hayuko tena na mkewe, sasa labda kwako sio muhimu kujua kuwa mkewe bado kwenye matatizo alikuwa nae.
Hio ya majina ni kuonyesha kuwa ninayemuongela ninamjua vizuri. Watu wengi humu wametoa mifano kwa kuonyesha kwa namna gani wanamfahamu Franco na familia yake
 


oloronyo, ukitoa ufafanuzi zaidi wa ufisadi wa franco mimi nitakuunga mkono, kibandiko chako kina mantiki japo umekileta jf wakati jamaa anaumwa sana (grave condition) hivyo inaonekana kama kejeli au chuki binafsi. Kwa hali ya kawaida, muungwana atajiuliza ni kwa vipi ulikaa na habari hivyo bila kuimwaga hapa jf hadi franco alipopata ugongwa? Lakini pia umeshindwa kutueleza bayana na kwa uwazi ni ufisadi upi franco alifanya hadi imekuwa vigumu kwako kujizuia kumpaka matope katika kipindi hiki kigumu? Pengine kutaja ukubwa wa makosa yake kungekusaidia kuungwa mkono baada ya kupimwa na wanajf na hata sisi tunaomfahamu.


Sipo katika jamvi hili kumtetea franco, lakini nina shaka kama unamfahamu vyema franco mtui. Huyu ni kijana miongoni mwa vijana waliokuwa na majina ya juu lakini kikubwa na kweli ni mtu wa watu. Nina hakika hili linaweza kuthibitishwa na yeyote anayemjua franco. Akina mtui ni watu wa watu tangu enzi walipokuwa matawi ya juu hawachagui mtu wa kujichanganya naye. Binafsi nimeshitushwa sana kwamba ndoa ilimshinda franco na alikuwa mlevi kupindukia kwani jinsi ninavyomfahamu lazima kuna jambo lilimfika ambalo lilimpa msongo wa mawazo mkubwa. Wenzetu ulaya mtu akifika hali hii hupelekwa kituo cha ushauri nasaha lakini afrika tunamcheka.



Pole sana franco.
 

Mtu ambaye angekuwa na uchungu wa kumtosa na kumtukana Franco sasa ni mke wake aliyeachwa huku kazalishwa mtoto lakini ameonyesha upendo na uungwana na utu katika kipindi hiki, hili nalo neno kwamba angeweza kumwombea kifo. Kimsingi namwombea Franco apone haraka na kama kuna ushahidi wa ufisadi juu yake atahukumiwa kwa mujibu wa sheria na vielelezo kutoka kwa Oloronyo na wengineo walio na ushahidi.
 

Oooh kumbe ni watoto wa Ostabei...ndio maana nimeambulia kapa...hivi huko Ostabei bado kuna oneka mali kwa standards za kibongo? Mimi nakuona kuchafukuchafu na kukuukuu...nyumba zimejengwa karne ya 19..aaaagh
 
Oooh kumbe ni watoto wa Ostabei...ndio maana nimeambulia kapa...hivi huko Ostabei bado kuna oneka mali kwa standards za kibongo? Mimi nakuona kuchafukuchafu na kukuukuu...nyumba zimejengwa karne ya 19..aaaagh

...NN fananisha huko na mazingira na zile nyumba zilizojengwa na mjerumani mitaa ya Railway Gerezani mpaka mitaa ya Garden Av, Ohio kuelekea Ikulu...nyumba za 'vigogo' miaka hiyoo...

...halafu, jamaa mliosoma SRSS (kizazi cha Breakdance!) wengi wenu mnafahamiana bana, mmetokea kwenye 'anga' hizo hizo za Bunge na Forodhani Primary, O'Bay primary, Upanga Primary, Zanaki, Muhimbili Primary nk etc... 😀
 
......halafu, jamaa mliosoma SRSS (kizazi cha Breakdance!) wengi wenu mnafahamiana bana, mmetokea kwenye 'anga' hizo hizo za Bunge na Forodhani Primary, O'Bay primary, Upanga Primary, Zanaki, Muhimbili Primary nk etc... 😀

Wengi tuliosoma SRSS tumetokea Olympio bana....na bunge kwa mbali
 
watoto wa kishua wakiongea wana misamiati yao fulani fulani halafu unajua kwenye mazungumzo yao lazima watakuwa wanatupa jina la kigogo fulani left and right kama vile Grald..haitoshi lazima watasema oahh unamzungumzia GERALD MKASOYA au kama vipi akitajwa FRANK basi lazima MTUI ifuate au kama akitajwa KHADIJA basi either watakwambia ahhh unamzungumzia KHADIJA KIGODA au MWANAMBOKA? au pascal..oh pascal MAYALA


they also have another thing in common, almost wote wamesomea NORTH DAR au maeneo ya Kinondoni...secondary au Primary wachache wamesoma pale Bunge lakini wengi wamesoma O'bay

Socializing..well generation tunaizungumzia ni ya waliokwenda 7th floor ijumaa jioni huku mchana walikuwa wanapattikana Don Bosco wanacheza basket, na on saturday of course never MISS events kama FOOD EVENING na DATES zao zilikuwa ni SHALIMAR, magazines zao kama RIGHT ON na WORD UP walikuwa wananunua kwa KHERY pale salamander na sasa hivi wengi wamerudi toka huko walikopelekwa kusoma na wanafanya kazi laini laini kama vile PR officers wa mashirika mbali mbali hapa mjini
 

OMG!,Nimesoma hii kit yako aisee umenikumbusha mbali sana especially Kheri wa salamander na magazeti yake hivi bado yupo?

Na pia 7th floor enzi hizo akina mwesiga Lukaza walikuwa wanachafua sana alafu umesahau Twiga na DI (Dar international)ilikuwa pale karibu na Embassy hotel. stk tsk tsk tsk Shalimar,mambo ya food evening duh GT ww ni kiboko una kumbukumbu kinomaa bado umeshau beach parties za Mawingu.
 

YAP KHERY yupo lakini sasa hivi yupo opposite na website yake ni hii hivyo kama unaweza mpige pini mnyamwezi alikuwa ananiuzia SOURCE kwa bei ya chee..tangu akina FILEMONI CHACHA na DEO wa ALLIANCE AIR wastop imekuwa ngumu kupata magazine mnyamwezi wetu lakini bado tunampa support pale tunapoweza


Beach parties ndio usiniambie unajua kulikuwa na jamaa wanatoka USWAZI walikuwa wanaingiza timu na COASTER zinazopiga nyimbo za BOBA MARLEY ...mziki mzitooo hebu niambie uko bichi halafu inaingia coaster inapiga mziki kuliko wa DJ KALI KALI unashangaa hili ngoma la NATURAL MYSTIC...ahh we acha tuu
 
Food Evenings zilikuwa boring ila kwa watoto wa SRSS na Mzizima ndio ilikuwa sehemu yao ya kuonyeshana nani ana nini nablah blah.
 

Wow Kheri ameanzia mbali sana siamini kama bado yupo na anaendeleza libeneke la kuuza magazeti.Unayo hiyo website yake?Mimi nilikuwa mnunuzi mzuri sana wa magazeti pale kwa Kheri nafahamiana naye vizuri sana.Pamoja na yule fundi pembeni yake sijui kama na yeye bado yupo.Na kuna yule mchaga pia alikuwa na kibanda chake cha vipodozi pale salamander sijui naye yupo duh pembeni kuna burger bite tsk tsk tsk tsk umenikumbusha mbali kweli m2wangu.

Ni kweli beach parties zilikuwa zamani sijui kama bado wanaendeleza libeneke la beach parties hadi sasa itakuwa siyo nzuri kivile.kungekuwa na uwezo wa kurudisha mambo ya zamani ingekuwa very alright.Kulikuwa na mabishololo enzi hizo duh akina Nicas wanatokea wamefunga miziki mizito hadi roho inadunda siku hizi mume wa mtu ametuliya kweli.

Alafu kulikuwaga na yule wacko jack wa kibongo hivi yule jamaa aliishia wapi?.GT si bure lazima weye nitakuwa nakunyaka mazee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…