Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
ahh nilikuwa napata tabu ya watoto wa kishua kumbe mpo
haya na wewe magazines ulikuwa unanunua wapi?
Mimi nilikuwa napata kutoka kwa Victor Mollel na Eric Mwenda...
Oooh na Francis pia...jamaa alikuwaga anakuja kutoka Nyamwezi....nakumbuka aliniletea Air Jordans
mhhh yale yale ya kudrop names
MOLLEL
MWENDA
hivi hukuwahi kununua magazines kwa Khery SALAMANDER?
Yale yale ya ku drop names...Khery salamander
Mzee yaonyesha ulitimka kitambo enzi za O'bay ya karne ya 19!. Ukirudi utastaajabu, ndizo wameuziwa waheshimiwa watumishi wa umma watiifu kwa bei za sadakalawe, sasa ndio zimekarabatiwa kwa migao ya vijisenti na fungu kubwa la ufisadi. Ukirudi, utashuhudia...Oooh kumbe ni watoto wa Ostabei...ndio maana nimeambulia kapa...hivi huko Ostabei bado kuna oneka mali kwa standards za kibongo? Mimi nakuona kuchafukuchafu na kukuukuu...nyumba zimejengwa karne ya 19..aaaagh
Habari uliyoitoa ni muhimu sana. Nimesikitika sana kusikia kuwa Franco Mtui anaumwa kiasi hicho. Ni siku nyingi tangu nionane nae kwa mara ya mwisho. Ila imenisikitisha sana.Lalasheee! Habari za kusikitisha nimezisoma kwa yule Nanhii wa Tegeta kuwa yule Will Smith wa wetu enzi zile 1990-2000 Bw.Franco Mtui amepooza mwili wake mzima alipopata ajali ya "kuangukia shimoni shambani kwake" na kwa sasa amelazwa hospitali ya Netcare Rehabilitation Centre J'burg.
Francis Mtui aka Franco alikuwa kijana mtanashati na pia sana enzi hizo za miaka ya mwisho ya mzee Ruksa ambapo wakati huo alikuwa anauza magari,alifunga pingu za maisha na Perece Kirigiti mwishoni mwa miaka ya 90 ambapo ilifuatiwa na reception ya kukata na mundu kama sio shoka iliyofanyika katika viwanja vya pale ilipo Multichoice Dar,ndoa yao iliyojaliwa kupata mtoto mmoja,iliingia doa na wawili hao walitengana mwanzoni wa miaka ya 2000 na hiyo kupelekea Franco aliyewahi kumiliki Bar ya kwanza ya aina yake ya kukesha usiku ya AQUA pale Msasani na pia Video library ya Aqua pamoja na watoto wa Kida,kuwa mlevi mbwa,na hivyo kumfanya awe anakunywa mpaka pombe za kienyeji nk
Mara kwa mara alikuwa anaokotwa amelala pembeni ya barabara na siku za karibuni alipotea katika hadhara hadi Mkuu wa nanhii alipomuweka katika Blog yake,kwa kuwa kule kwa mkuu wa wilaya ya nanhii anabania maoni,nikaona nilete habari hapa.
Wito wangu kwa hawa Macelebs wetu wa bongo wawe makini katika maisha haya ya sasa wakati huo wakumbuke sana baadaye kwani mambo yanaweza kuwaharibikia. Hospitali hiyo pia amelazwa Mzee wetu Timoty Apiyo na Mwandishi Athumani Hamisi.
Tunamtakia kila la heri Bw.Francis Franco Mtui apone haraka na amkumbuke muumba wake.
Deo Mtui yupo hapo kwenye picha inayomuonyesha Franco akiwa hospitali. Mwingine kwenye picha hiyo ni M. Michuzi.Jamani Deo na Edwin Mtui wako wapi? sijawahi kuwasikia tena
Ni mmoja wa wanafamilia wa Mzee Mtui, Baba alikuwa mtumishi wa umma akiishi O'Bay. Vijana watatu hawa Franco ndiye mkubwa akifuatiwa na Deo na mdogo wa alikuwa DJ Maarufu Fresh XE. I'm not sure na mdogo wao mwingine tena.
Yeah, ila bado kuna baadhi ya nyumba ambazo bado ziko choka mbaya. Inawezekana waliouziwa hawakuwa na uwezo mkubwa kama wenzao walioweza kuzikarabati na kuzifanya ziwe nzuri zaidi.Mzee yaonyesha ulitimka kitambo enzi za O'bay ya karne ya 19!. Ukirudi utastaajabu, ndizo wameuziwa waheshimiwa watumishi wa umma watiifu kwa bei za sadakalawe, sasa ndio zimekarabatiwa kwa migao ya vijisenti na fungu kubwa la ufisadi. Ukirudi, utashuhudia...
Franco apone na kurudia enzi yake.
Mzee yaonyesha ulitimka kitambo enzi za O'bay ya karne ya 19!. Ukirudi utastaajabu, ndizo wameuziwa waheshimiwa watumishi wa umma watiifu kwa bei za sadakalawe, sasa ndio zimekarabatiwa kwa migao ya vijisenti na fungu kubwa la ufisadi. Ukirudi, utashuhudia...
Franco apone na kurudia enzi yake.
Sijaelewaa huyu ni nanii kwao wapiii
R.I.P Franco. We will always miss you our dear brother.