Kweli aliturusha bigtime-you have summed it all"I'm the Major General Fresh XE"
Uliturusha Franco. You gave us memories of how to rock a mic very early on.
May all beings attain enlightenment.
Mimi nilikuwa napata kutoka kwa Victor Mollel na Eric Mwenda...
Oooh na Francis pia...jamaa alikuwaga anakuja kutoka Nyamwezi....nakumbuka aliniletea Air Jordans
Oloronyo ingawa hii post uliipost zamani but ukweli ni kwamba unachuki binafsi na Franco kwani hujui chanzo cha ajali yake hadi akapooza mwili pia hujui ugomvi ulio sababisha akatengana na mkewake usipende kushadadia mambo usioyajua ili oonekane kuwa unajua. Kama Franco alikuzidi kete pole ila usilolijua ni kama usiku wa giza. Elewa ajali himpata mtu yeyote yule Franco hakupenda kupata ile ajali. Yaelekea ulipewa maneno ya udaku mtaani nawe ukayaleta mazima humu bila kuyafanyia kazi. Hujafa hujaumbika limetokea kwa Franco kesho linaweza mpata mwingine hata ww linaweza kukupata.
Nimecheka sana hii post yako.Kaka Bluray alishangaa kuona post ya habari za mgonjwa imeshehenezwa innuendos nyingine zisizo hishma kabisa.a
Wengine kaka yetu huyu Obay kitambo, tunamjua cheche zake enzi zile, kabla ya Aqua, Franco had style and pioneered stuff wakati huo kina Mr. II hawa hawajafika mjini. Huyu labda anaweza kurudi kwenye era za kina Saleh Jabri na Kim Mgomelo kama si nyuma zaidi.
Umkute hapo Franco kwenye mtambo, hapo Eddo kashika mic, mpakana wewe unapata mshawasha kushika mic.
Nakumbuka mashindano ya Rap Lang'ata 1990 aliwarusha watu sana, mpaka kina Kelvin G na Connie Francis wakakubali.
Kwa hiyo tukashangaa maneno yasiyo taadhima kwa mtu alwatan.
Ndiyo mambo ya mtandao hayo, anything goes.
Kweli kabisa !!! franco alikuwa mtu mwenye kipaji na smart sana! Mungu atakuponya .Inaelekea watu wa O'bay back in the days humu si haba!
​rest in peace ki vp?rest in peace