Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
Haya mjombakatimuliwa, ila hapo ajax umemsingizia, amefanya vibaya crystal palace na inter ila ajax amefanya maajabu, walishapotea ajax yeye kawabebesha makombe manne mfululizo, ameeka rekodi yake uholanzi. hilo la uholanzi kutokuwa ligi bora ni jengine.
na si kweli kwamba eti amefukuzwa ajax, hakufukuzwa bali alishika nafasi ya pili akajiuzulu, kocha ambaye amebeba kombe mara 4 mfululizo ligi ya uholanzi, ni rekodi yake pekee, halafu akashika nafasi ya pili akajiuzulu sio mtu wa kawaida kumsema eti hajui kufundisha.
na hata kama umeangalia mechi ya crystal palace ya jana wametawala mpira, wamepiga mashuti 23, bahati tu haikuwa yao,
Kocha mbov aliendaje ajax na huko intermilan cjui
katimuliwa, ila hapo ajax umemsingizia, amefanya vibaya crystal palace na inter ila ajax amefanya maajabu, walishapotea ajax yeye kawabebesha makombe manne mfululizo, ameeka rekodi yake uholanzi. hilo la uholanzi kutokuwa ligi bora ni jengine.