Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mkuu, ni boxer ama bikini? Nafikiri ungeweka bikini ingalinoga zaidi [emoji160]Jana Tunduma ili ongelewa kwenye Kamati Kuu CCM, mwakilishi wa CCM wa kanda hio amesema wana hali mbaya sana kisiasa Songwe & Tunduma.
CCM lazima boxer ziwavuuke kanda hio.
Kupoteza muda na pesa. Hii ni 2020 sio 2015 Ukawa ilipombeba.
shukrani mkuuJulai 2020
Tunduma, Tanzania
Live toka Ofisi ya Jimbo Tunduma Songwe
MWAKAJOKA Arudisha Fomu Avunja Rekodi ktk kuhakikisha miradi inatekelezwa "CCM, Hiki ni Kipingo cha Pili
WanaTunduma na chama cha CHADEMA wana uhakika kuibuka na ushindi wa kiti cha Ubunge na kata zote 15 Tunduma kwenda CHADEMA 2020
Source : Jay Tv
Kosa la CCM ni kuwanunua wabunge/ .madiwani...sasa wananchi wanakwenda kuwaadhibu.Jana Tunduma ili ongelewa kwenye Kamati Kuu CCM, mwakilishi wa CCM wa kanda hio amesema wana hali mbaya sana kisiasa Songwe & Tunduma.
CCM lazima BIKINI ziwavuuke kanda hio.
du... kakusikia kaweka bikini aisee!Mkuu, ni boxer ama bikini? Nafikiri ungeweka bikini ingalinoga zaidi [emoji160]
Aiseee !!Kama hivi mkuu kupoteza muda na fedhaView attachment 1503840
Chadema hawana uwezo wa kushinda hata kata 1Mkuu, ni boxer ama bikini? Nafikiri ungeweka bikini ingalinoga zaidi [emoji160]
Safi kabisa!
Jana Tunduma ili ongelewa kwenye Kamati Kuu CCM, mwakilishi wa CCM wa kanda hio amesema wana hali mbaya sana kisiasa Songwe & Tunduma.
CCM lazima BIKINI ziwavuuke kanda hio.
Mkuu, ni boxer ama bikini? Nafikiri ungeweka bikini ingalinoga zaidi [emoji160]
UYU ALITAKA KUPIGA KURA YA HAPANA KWA YESU AKAONYWA AKAANZA KULIAView attachment 1503720