Julai 2020
Tunduma, Tanzania
Live toka Ofisi ya Jimbo Tunduma Songwe
MWAKAJOKA Arudisha Fomu Avunja Rekodi ktk kuhakikisha miradi inatekelezwa "CCM, Hiki ni Kipingo cha Pili
WanaTunduma na chama cha CHADEMA wana uhakika kuibuka na ushindi wa kiti cha Ubunge na kata zote 15 Tunduma kwenda CHADEMA 2020
Source : Jay Tv
Tunduma bila wizi, ccm haichomoi kamwe.
Kosa la CCM ni kuwanunua wabunge/ .madiwani...sasa wananchi wanakwenda kuwaadhibu.
Darasa la saba huyo safari hi harudi bungeniMungu mbariki Mwakajoka
Mungu ibariki Chadema16 Julai 2020
Tunduma,Tanzania
KATIKA KURA ZA MAONI MWAKAJOKA AOGOZA KWA KURA NYINGI NI DALILI YA USHINDI
Kura halali zilizopigwa ni 175 na zilizoharibika hakuna. Matokeo ni kama ifuatavyo kamanda Fadhili kura 1, kamanda Simbeye 8, aliyekuwa diwani kamanda Herode Jivava amepata kura 67 na aliyekuwa mbunge kamanda Frank Mwakajoka amepata kura 99.
Frank Mwakajoka baada ya kuongoza ktk matokeo ya kura za maoni amesema sasa makamanda wote tuliopata jumla ya kura 175 tujiunge pamoja na wanaTunduma kuikabili CCM Mpya ktk uchaguzi wa Oktoba 2020
Source : DSS Tunduma
jingalao karibu sanaJingalao,
Julai 2020
Tunduma, Tanzania
MWAKAJOKA Atikisa Tunduma
"Mkutano wa kuwashukuru Wananchi "CHADEMA Tutashinda Uchaguzi Majimbo Yote 2020 .
Mfano Chipaka tenki la maji na matenki mengine yatasambaza huduma ya maji safi kwa wote.
Elimu mji wa Tunduma imezidi kuboreshwa
Mbunge wenu mimi Mwakajoka nimetambuliwa ktk hansard ya bunge kama mchangiaji bora aliyeshika namba 7 ktk bunge la Muungano wa Tanzania kuwatetea wakulima, wafugaji, wavuvi na watumishi wa umma siyo Tunduma tu bali pia kuwatetea waTanzania wote. Kiasi Spika Job Ndugai akawa anaomba nipunguze mbinyo kuibana serikali lakini mimi kama Mwakajoka nilikuwa sielewi wala kuchoka kulibana bunge la Ndugai na serikali ya CCM Mpya.
Michezo ni afya na ajira mfano Mwakajoka Cup imesaidia kutoa burudani na kutoa vijana 3 waliochaguliwa kwenda under 17 timu ya taifa ya Tanzania ya soka.
Mfuko wa jimbo Tshs. 95 milioni kila kata imenufaika kufuatana na mahitaji ya kila sehemu.
Vituo vya Afya pia vimeboreshwa kutoa huduma kwa Mama na Mtoto pia vijana na kina baba.
Source : JAY TV
Hiki kisa mbona nimenipita nipe link au ufafanuzi ndugu.UYU ALITAKA KUPIGA KURA YA HAPANA KWA YESU AKAONYWA AKAANZA KULIAView attachment 1503720
Mkuu sio vibaya kujifurahisha kwa sababu CCM watakwambia ukweli ulivyo ila watakuudhi. Pole sanaKwa mikoa ya Mbeya na sasa mkoa mpya wa Songwe walisha apa kuifuta ccm kwenye historia ya siasa
Mkuu sio vibaya kujifurahisha kwa sababu CCM watakwambia ukweli ulivyo ila watakuudhi. Pole sana
CCM Mpya haiishiwi na vioja, ona sasa 2020
Yani maboya ya Lumumba nilishawambia uchoko peleken Lumumba sio huku kwa wanaumeKupoteza muda na pesa. Hii ni 2020 sio 2015 Ukawa ilipombeba.