Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
frankgalos upo wapi?
Huyu jamaa alikua yupo vizuri kwa masuala ya computer, pamoja web development kwa mafunzo mazuri sana naona nafasi imechukuliwa kwa wakali hawa:
CHIEF MKWAWA
Mwl.RCT
Na wengi wengineo njoo frankgalos.
Jukwaa la Tech limevamiwa hakuna msaada.