frankgalos upo wapi?
Huyu jamaa alikua yupo vizuri kwa masuala ya computer, pamoja web development kwa mafunzo mazuri sana naona nafasi imechukuliwa kwa wakali hawa: CHIEF MKWAWA Mwl.RCT
Na wengi wengineo njoo frankgalos.
Jukwaa la Tech limevamiwa hakuna msaada.