Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Amewatakaje hao madj wa europe na usa??Uko sahihi sana
Anafanya marketing,na kuteka ma DJ europe na usa
Hamfikii wizkid wala davido
Hahahah, Mada inahusu show sio wimboI agree...
labda wimbo wake ule wa Angelina...nyingine zote upuuzi tu
Hahahah, Mada inahusu show sio wimbo
Kwa jinsi show yake ya jana,ilivyokua mmmhhh kawaida sana,labda kwa level za wazungu watakua wanamuelewa sana mchizi,ila kibongo bongo msela bado mnoooo.....
Sikiliza like to party.. wa 2012I agree...
labda wimbo wake ule wa Angelina...nyingine zote upuuzi tu
Tena koffi akiwa moto kweli kweli...zaidi ya hapo kwakweli Tandale boy hafai hata kidogoAfrica bado hakuna wakupiga show na mr umeme,chibu,bin laden
Labda wacongo na band zao
SecondedKwa jinsi show yake ya jana,ilivyokua mmmhhh kawaida sana,labda kwa level za wazungu watakua wanamuelewa sana mchizi,ila kibongo bongo msela bado mnoooo.....
Btw...wagonga nyundo wanakusalimia bossAfrica bado hakuna wakupiga show na mr umeme,chibu,bin laden
Labda wacongo na band zao
Btw...wagonga nyundo wanakusalimia boss