Frankly Speaking Burna Boy is too much overrated

Clouds walijitahidi.
Burna anajua imba sio mpiga kelele jukwaani mama kina fulani. Kiufupi anaimba live
Kiingilio nilikuwa kuanzia laki (Ticket za kawaida ) Na ukumbi ulijaa pomoni ... Endeleeni kuchonga
 
Jamaa ni mkali sana kwa jinsi nilivyoionq hiyo shoo si ya kitoto
 
P square hakuna wa kuwafikia kwa live performance
 
Kwani bongo kunanini ?? Simnapenda singeli ...muziki wa burnaboy hamuelewi ata anavyoimba
Kwa jinsi show yake ya jana,ilivyokua mmmhhh kawaida sana,labda kwa level za wazungu watakua wanamuelewa sana mchizi,ila kibongo bongo msela bado mnoooo.....
 
Ahhh... Burna boy ni original sio copy.. Hicho ndo kinacho mbeba ana style yake ya kipekee sana
Kwa jinsi show yake ya jana,ilivyokua mmmhhh kawaida sana,labda kwa level za wazungu watakua wanamuelewa sana mchizi,ila kibongo bongo msela bado mnoooo.....
 
Akili ndogo bana, hivi kwani zile show za BET na nyinginezo za huko mbele, huwa kuna mambo ya kurushana rushana na kupigishana kelele bila sababu?
 
Wanataka apige yope[emoji23][emoji23][emoji23]
Akili ndogo bana, hivi kwani zile show za BET na nyinginezo za huko mbele, huwa kuna mambo ya kurushana rushana na kupigishana kelele bila sababu?
 
Watu waliozoea kumwagiwa maji hawawezi elewa show kama ile. Nilikua namsikia tu na sijui nyimbo zake lakini kwa kuchungulia kidogo tu kipande cha show yake nimetokea kumkubali sana. Mi siwezi hudhuria show ambazo wasanii hawaimbi live hata kwa bure.
 
Mleta Mada anafir*w madale.

Hapo anamponda Burna kwa kuwa kaona ana ukaribu na Harmonize.

Hana Sababu Nyingine

---------

Kwa jinsi show yake ya jana,ilivyokua mmmhhh kawaida sana,labda kwa level za wazungu watakua wanamuelewa sana mchizi,ila kibongo bongo msela bado mnoooo.....
Huyo Domo hatokaa afikie mafanikio ya Burna boy

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…