Fred Matiang'i: Every Kenyan has a right to go anywhere in Kenya to sell their policies; let's debate freely

Viongozi wetu kufikia level ya viongozi wa kenya labda miaka 50 ijayo!! Huwa natamani kusikiliza taarifa zao, kenya jamani kuna raha, kwetu hapa bias ni kubwa mno!!! Ukiwa upinzani wewe tu unafanya makosa, lakini ukiwa chama tawala, wewe siku zote ni msafi, ndo maana hatutaendelea!!!
 
Wakiamua wanawez. Ni swala la kuamua kubadilika tu.
 
Kenya wametuzidi sana kwenye freedom of expression, sisi tanzania ukisema unataka katiba mpya - ni ndaniiii ukizidi unapewa na ugaidi.

Tumeturudisha nyuma kwa miaka 40, nakubaliana na General ulimwengu, kidemokrasia Tanzania ipo katika mwaka 1956.
 
Unajua kasema hivyo kwanini? Msikurupuke kenya kuna ukabika wa hatari,ruto hataki raila akafanye kampeni huki rift valley,na wafuasi wa raila walimfukuza ruto kwa mawe huko nyanza

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Lini ruto kafukuzwa Nyannza?

Raila alipokelewa na umati mkubwa Eldoret juzi tu. We huzifahamu siasa za Kenya
 
Kwa
Viongozi wetu kufikia level ya viongozi wa kenya labda miaka 50 ijayo!! Huwa natamani kusikiliza taarifa zao, kenya jamani kuna raha, kwetu hapa bias ni kubwa mno!!! Ukiwa upinzani wewe tu unafanya makosa, lakini ukiwa chama tawala, wewe siku zote ni msafi, ndo maana hatutaendelea!!!
Kwani.ukiomba uraia unanyimwa?
Kenya sio kubaya unaweza hata kuishi bila permit
Nenda ukatimize hamu yako huko.
 
Lini ruto kafukuzwa Nyannza?
Raila alipokelewa na umati mkubwa Eldoret juzi tu. We huzifahamu siasa za kenya
Wakenya wakifanya kosa kumuweka raila ikulu wamekwisha. Jamaa ni katili na ana visasi kama rafiki yake aliyetwaliwa kabla ya muda wake.
 
Wakenya kwa ukanda huu wao ni kiongozi wa kila kitu, thinking capacity ya viongozi wa kenya iko mbali kuliko viongozi wa nchi nyingine wanaoona bado kuabudiwa ni sifa
 
Unajua kasema hivyo kwanini? Msikurupuke kenya kuna ukabika wa hatari,ruto hataki raila akafanye kampeni huki rift valley,na wafuasi wa raila walimfukuza ruto kwa mawe huko nyanza

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Wacha kujidanganya my friend. Raila amekua akifanya campaign Rift Valley tena Eldoret kwa Ruto Kwenyewe na Ruto amekua akipiga siasa Nyanza haswaa Migori na Kisii. Siasa za Kenya ni kama Mpira tu, Watu hawaweki roho zao kwa Siasa.
images%20-%202021-10-25T205219.823.jpg
 
Viongozi wetu kufikia level ya viongozi wa kenya labda miaka 50 ijayo!! Huwa natamani kusikiliza taarifa zao, kenya jamani kuna raha, kwetu hapa bias ni kubwa mno!!! Ukiwa upinzani wewe tu unafanya makosa, lakini ukiwa chama tawala, wewe siku zote ni msafi, ndo maana hatutaendelea!!!
Hahahaha, hujafika Kenya wewe, hata wakenya wenyewe hapa wanakushangaa.
 
Au limatiangi limesoma upepo wa Ruto linaona liniweke neutral sasa maana lilikuaga linamshughulikia kweli kweli
 
Back
Top Bottom