Jose Mourinho jana alipoteza mechi ya pili mfululizo katika mechi 3 …Ni mara ya kwanza kwa Jose kufungwa 3-0 nyumbani katika Maisha yake….Hii inaongeza hali ya sintofahamu ndani ya kikosi cha Manchester United haswa baada ya kuibuka kwa habari kuwa Jose ana tatizo na Paul Pogba japo Jose mwenyewe amekanusha habari hizo
Kuna maeneo ambayo Jose hajapata aina ya mchezaji anaye mtaka….Haswa eneo la winga ya kulia…Jose anahitaji kuwa na mchezaji aina ya Willian au Di maria…Tayari kushoto ana Sanchez na kati ana Lukaku hivyo atakapo kuwa na winga ya kulia kama willian au Di maria itamwezesha kuweza kushambulia kwa kasi sana..Jesse Lingard hafananii na wachezaji hao nilio wataja…Mata hafananii haswa katika suala la kujilinda…Jose anapenda kushambulia kwa counter attack na kutumia watu watatu ambao ni central striker (lukaku) na mawinga wawili…
Katika eneo la kiungo ndipo amabapo anachanganyikiwa Zaidi..Haswa ujio wa fred..Jose anakosa njia sahihi ya kuwatumia viungo wake wanne(Herrera,Matic ,Pogba na Fred)
Katika mechi ya kwanza dhidi ya Leicester city kwenye kiungo walianza Pereira,Fred na Pogba..Pereira alionekana kucheza chini sana na Fred alicheza mbele kidogo kulia kwa Pereira huku Pogba akicheza kushoto mwa Pereira..Pogba alicheza vizuri lakini ilionekana wazi kuwa Pereira alichezeshwa katika aneo lisilo sahihi…Hata Fred hakuwa Fred wa Shaktar japo wengi walisema kuwa kwa kuwa ni mechi ya kwanza…
Katika mechi mbili za champions league 2017/2018 Shaktar dhidi ya As Roma Fred alicheza kama kiungo wa chini kabisa…Ilikuwa rahisi kumuona Fred anavyo kaba na kujaribu kuisukuma timu kwenda mbele…Hiyo ndio nafasi ya Fred(nafasi aliyocheza Pereira dhidi ya Leicester city)
Mechi dhidi ya brighton pale Falmer stadium ndio ilionesha wazi kuwa united hawakuwa na mtu sahihi anaye unaganisha safu ya kiungo na mabeki…Pereira alishindwa kabisa kuimudu game..Adreas Pereira ni kiungo mshambuliaji..Nilimshuhudia mara kadhaa wakati wa van gaal akicheza kama namba kumi au winger..Wakati akiwa kwa mkopo pale Valencia msimu uliopita bado alitumika kama kiungo mshambuliaji
Jana dhidi ya Tottenham Pereira hakuwepo…kulikuwa na viungo wannne Pogba,Matic ,Herrera na Fred..Herrera alikuwa karibu sana na safu ya ulinzi(alikuwa anafanya united kuwa na mabeki watatu wa kati) na Pogba alicheza kulia na kushoto wakibadilishana na Fred … First half Man united waliwazuia vizuri Tottenham na kufanya Totti kufanya mistakes nyingi katika ulinzi (United walitakiwa kuongoza kwa magoli kipindi cha kwanza)..
Second half baada ya goli la kwanza na la pili Jose alifanya mabadiliko ambayo yalimfanya Fred kuja kucheza kiungo cha chini…Kabla ya goli la 3 unaweza kuona Fred alivyokuwa ame relax na kuipush united kwenda mbele….
Eneo analo paswa kucheza Fred ndio ambalo Matic hupenda kucheza..Bado namwona Jose akiendelea kuhaha kutafuta njia sahihi ya kuwatumia viungo hawa..Bado pia jose hana mabeki wakati wawili wa uhakika kama ilivyokuwa Rio Ferdindand na Nemanja Vidic(enzi za Sir Alex)
Jose
“do you know what was the result? This [holding three fingers up]. 3-0, 3-0. Do you know what this is? 3-0. But it also means three Premierships and I won more Premierships alone than the other 19 managers together. Three for me and two for them two. So respect man, respect, respect, respect”