N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Kijana huyu ni msomi. Aliesoma vyuo vikuu vya UDSM na Mzumbe. Anawathibitishia vijana wengine wa Tanzania kwamba kusoma sio lazima uajiriwe. Msome Fred Vunja Bei Wikipedia. Machinga mwenye ukwasi wa zaidi ya BILIONI 3. Fred Vunja Bei. Kijana wa Iringa. Fred Ngajiro - Wikipedia