Sio lazima kuajiliwa,ila kuajiliwa inaweza kuwa chanzo Cha mtaji,huyu alipitia huko kwenye ajiraKijana huyu ni msomi. Aliesoma vyuo vikuu vya UDSM na Mzumbe. Anawathibitishia vijana wengine wa Tanzania kwamba!? Kusoma sio lazima uajiriwe. Msome Fred Vunja Bei Wikipedia. Machinga mwenye ukwasi wa zaidi ya BILIONI 3. Fred Vunja Bei. Kijana wa Iringa. Fred Ngajiro - Wikipedia
nikishare huku ndio tayari nitakua nishaji-exposeHahaha jiandike kwanza wewe tuwekee link hapa...unadhani makasokela kwenye Wikipedia bee
Huyu jamaa ni inspiration kwa generation hii
Kuna uwezekano akawa kamuacha frank knows gap kubwa sana kwa utajiri japo walianza pamoja
Dah adse inafikirisha sanaWale wana mambo yao usitake kuniambia nguo ndio zinalipa kiasi hicho
Ila nnadhani ile ni strategy yao wewe fikiria leo vunjabei angekuwa anahojiwa clouds halafu mda huo huo na frank awe na interview wasafi unafikiri urafiki wao ungeendelea hata mwezi
Frank kama alishamnyima whozu>>> mdogo wake kodi ikabidi jamaa akalie kwa fred huyu mtu unadhani ni wa aina gani?