Fred

Huyu anajipa moyo kwamba kumbe jamaa yake hakuondoka na vyote, kuna alichomuachia ambacho alijua ni muhimu zaidi ya mume mwenyewe..

Teh
 
Inaonekana ka miss siku nyingi sana na alikuwa mwanifu kweli kwa hiyo uyoga
 
na kama huyo wyf angekutana na nyumba ndogo hapo?hahahaha naona fred angefufuka.he he he he.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…