Freddy Michael vs Guedde

Yani magoli 2 ya kichwa tayari mmeshamuona anafaaa tena kwa polisi timu mbovuuuuuu...subiri acheze mechi zingine tumuone...
Ila ni ahueni kwake. Maana yatauimarisha uwezo wake wa kujiamini, hata kama ameifunga timu ya Ligi daraja la kwanza. Maana hakuna kitu kinaumiza kwa mshambuliaji kama hiki cha kushindwa kufunga magoli.

Yaani ni sawa tu mke na mume ndani ya nyumba halafu mmoja wao ashindwe kufanikisha zoezi la kupatikana mtoto! Aisee huwa inauma sana.
 
Yani magoli 2 ya kichwa tayari mmeshamuona anafaaa tena kwa polisi timu mbovuuuuuu...subiri acheze mechi zingine tumuone...
Hii hoja ya kusema Yanga inapiga mabomu mochwari au kusema imefunga wachovu, acha kuitumia maana tukifanya specific to general reasoning; HAUSANG, POLISI, JKT, KMC na SIMBA wote ni MOCHWARI.
 
Guede gari halijapata moto tu,ila ni striker mzuri,attempts alizofanya game zilizopita before game ya leo na Polisi TZ zilinitoa hofu kuwa 1day atafumania nyavu...Hatimae amefungua akaunti ya magoli
 
Yani magoli 2 ya kichwa tayari mmeshamuona anafaaa tena kwa polisi timu mbovuuuuuu...subiri acheze mechi zingine tumuone...
Una roho kubwa sana
I gues una k kubwa kama kopo la chumvi
 
Matusi ya nini? Huwezi kujenga hoja bila kutoa matusi?! Mama yako mzazi yake ina ukubwa gani? Bila shaka ni kubwa sana zaidi ya ilo kopo la chumvi.
Huyo ni mwanamke anajilinganisha na yake ilivyo mkuu. Halafu mimi matusi hayanitishi wala kunitoa humu...tunaenda sambamba...
Nashukuru kwa kwa concern yako
 
Yah sure...imempa auheni...
 
Hii hoja ya kusema Yanga inapiga mabomu mochwari au kusema imefunga wachovu, acha kuitumia maana tukifanya specific to general reasoning; HAUSANG, POLISI, JKT, KMC na SIMBA wote ni MOCHWARI.
Siku ile kwa Simba ni majini yalicheza πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…