Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,355
- 1,956
Tupeni source basi tafadhali...Il hizo habari zitakuwa sio za kweli kwani strategically atakuwa wrong..Akeinda sasa maana yake na Ubunge anauvua..I dont think so kama anaweza kufanya hivyo kwa sasa..
Kitila, kaka upo? Ni kweli kuwa fedha si kila kitu. Lakini unahitaji fedha kufanya kampeni ili ushinde uchaguzi!Ndugu, sio kila mtu anahusudu vijisenti. Kwa wengine, hata kama ni wachache, uhuru, utu na utashi ni muhimu zaidi kuliko hayo mamilioni ya pensheni!!
Ila kwa mtizamo wangu, CCJ nina mashaka kama ni chama imara cha upinzani halisi. Upinzani wa kweli ni lazima utokane na mpasuko ndani ya Chama cha Mapinduzi tu. Yaani ni sawa na kuchora mstari, kundi moja la SSM kule na la pili kule!!
Mwache aende zake - ameshakuwa "liability" na angebakia CCM "tungempiga chini" katika kura za MAONI!
Napenda mtu anayeweza kusoma ALAMA ZA NYAKATI...
OFF Topic: TuskerBariiiidi? Siku hizi sikuoni mitaa yetu ya Meeda na B-Bar! Au kwa sababu Tusker imekuwa adimu?
Unatenganisha vipi nia na kuwa mwanachama? Mwache Fred aonyeshe njia. Nadhani ile dharura ya vikao vya CC na NEC ya CCM ilitokana na hili pia.Hivi kutangaza nia ya kuhama ccm na kujiunga na ccj ndio kujiunga kwenyewe au kujiunga ni kurudisha kabisa hadi kadi na kupokelewa rasmi? Wana JF nisaidieni hapa
Huyu jamaa alikuwa mmoja wa wabunge wa kutimuliwa kwenye hicho kikao. Naona kaona bora aruke sasa ili isionekane kafukuzwa. Naambiwa kuna wabunge wengine kati ya wawili mpaka watano.so CCJ is becoming a reality? Has it something to do with the 8/April/2010 meeting?
Hivi kutangaza nia ya kuhama ccm na kujiunga na ccj ndio kujiunga kwenyewe au kujiunga ni kurudisha kabisa hadi kadi na kupokelewa rasmi? Wana JF nisaidieni hapa
Nasikia ilikuwa atimuliwe kwenye kikao cha NEC, kapata habari kaamua aruke kwanza ili awe japo na kisingizio.