S. S. Phares
JF-Expert Member
- Nov 27, 2006
- 2,138
- 85
Nimjuavyo Mpendazoe,
Alikuwa DG wa baraza la mazingira, akahamia wizara ya maji kabla ya kwenda jimboni. Kwa watu waliofanya nae kazi wanamjua. Ana msimamo ya yale anayoyaamini, ni mchapakazi. Wavivu wote wa kufikiri na kutenda kwa mazoea wanamjua vizuri huyu.
what makes you think so? it will affect all parties and ofcourse will depend on which policy will they market for us the voters, may not be such threat!Bado hawajapata usajili wa kudumu.
Hii CCJ na CHADEMA watagawana kura na kuiacha CCM inapeta kilaini sana. Labda wakubali kuachiana majimbo hapo kutakuwa na la maana.
Sasa hivi akina Makamba, na mijizi mingine ndani ya CCM wameanza kunoa matusi yao yakumpachika Fred. Tutasikia atatuhumiwa kwa mengi sana -- ufisadi mbali mbali kama vile ktk EPA, Radar, Kagoda etc.
CCm hawawezi kamwe kupingana naye kwa hoja, ila tu kwa tuhuma za uongo na matusi, ndiyo wanachojua katika kukabili wapinzani. subirini tu mtaona.
With all due respect mkuu, tulisikia sifa hizi hizi akipewa JK, Pinda na hata Lowassa. Iwapo watu wa aina hii wapo Serikalini kwa nini tunashida sana kwenye kufuta urasimu?
Nadhani nia yako ni kupotosha watu. Ushindwe kwa jina la CCJ! I think you are talking about another Fred Mpendazoe. Tujuvye lini na wapi huyo Mpendazoe umjuaye alitetea mafisadi?Nimeanza kuwa na wasiwasi kuhusu CCJ, is it becoming kapu la makapi? Is this Fred Mpendazoe aliyetetea mafisadi kwa nguvu zote, au nimesahau? CCJ ni chama ambacho mtu yoyote anaweza kujiunga bila hata kujua msimamo wa mtu huyo ukoje?
Nimeanza kuwa na wasiwasi kuhusu CCJ, is it becoming kapu la makapi? Is this Fred Mpendazoe aliyetetea mafisadi kwa nguvu zote, au nimesahau? CCJ ni chama ambacho mtu yoyote anaweza kujiunga bila hata kujua msimamo wa mtu huyo ukoje?
Nadhani nia yako ni kupotosha watu. Ushindwe kwa jina la CCJ! I think you are talking about another Fred Mpendazoe. Tujuvye lini na wapi huyo Mpendazoe umjuaye alitetea mafisadi?