Ana uhakika wa 80% ya nshahara wa Waziri Mkuu wa sasa kila mwezi! Ulinzi, gari la kifahari! Umeshapewa mafao yako ya kutosha! Achilia mbali dili ulizopiga enzi hizo!
Kwa hali hiyo, kwa nini usifunike kombe mwanaharamu apite? Hata ningekuwa mimi, ningekula na kipofu.