Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Wahuni siyo watu.
Kupitia ukurasa wa Instagram Fredrick Lowassa ameandika
“Baba – Nakumbuka hii siku, Agosti 10, 2015. Watanzania wanajua. Dunia inajua. Haijawahi kutokea katika historia ya Tanzania. Umetufundisha – TUMEKOMAA! Tumelinda heshima yako kwa wanaMonduli. Na tunaendelea kuheshimu Mamlaka na kuishi kwenye mioyo ya wenzetu. Ameen.”
View attachment 3451558
CCM inaendeshwa kama sports club. Coach akiamua usicheze huchezi. Punto..
Kupitia ukurasa wa Instagram Fredrick Lowassa ameandika
“Baba – Nakumbuka hii siku, Agosti 10, 2015. Watanzania wanajua. Dunia inajua. Haijawahi kutokea katika historia ya Tanzania. Umetufundisha – TUMEKOMAA! Tumelinda heshima yako kwa wanaMonduli. Na tunaendelea kuheshimu Mamlaka na kuishi kwenye mioyo ya wenzetu. Ameen.”
View attachment 3451558
Ulikuwa Urafiki wa mashakaSawasawa!
Siasa sio mchezo wa kusubiri hurumahuruma
Hakunaga urafiki wa wanasiasaUlikuwa Urafiki wa mashaka
UhuRuto 😂Hakunaga urafiki wa wanasiasa