Fredwaa (Fredi Fidelis) forgive, forget and move on? PB imepoaaa

RIP Fredwaa 😭😭😭
 
Chief umenikumbusha mbalii sanaa wayback 2010 kurud nyuma.. kiss fm ilikuwa radio yangu.. weekend kuanzia saa moja top 30 ya America... ma DJ wake enzi hizo walikuwa wanapigq ngoma kali sanaa.. full kingereza mwanzo mwisho... now days kiss fm ugoro mtupu...
 

Nilikuwa sikosi Kusikiliza Kiss FM Weekend Top 30 kila Jumamosi na Hollywood Hamilton miaka ya 2000s.
 
"Unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako"- Tangazo

Pombe ni hatari sana Mkuu kwa madereva ,nilivyosikia kapata ajali kichwani nikajiuliza Kawe Kuna ajali gani ya kuua saa saba mchana wakati hauwezi kwenda hata 60 mwai kibaki? ,pili nikajiuliza mtaro gani alioingia huko kawe? kawe mtaro mkubwa si wa pale malingo kona? Alitumbukia mtaro gani?
 
Yeye alikuwa akiendeshwa but alikuwa kalewa, pia dereva aliekuwa akiendesha ambae ni ndugu yake alikuwa kalewa pia, watu wanamengi vifuani mwao ila hawapati watu sahihi wakuwashirikisha.

Mwamba alikuwa anapitia wakati mgumu na tangu April Clouds ilivopitisha panga na yeye alikuwemo, Kifo hakina maandalizi.
 

Inasikitisha , sasa kama alichezeshwa daruga na clouds inakuwaje bado wanamtambulisha kama mfanyakazi wao? Ulevi noma.
 
Inasikitisha , sasa kama alichezeshwa daruga na clouds inakuwaje bado wanamtambulisha kama mfanyakazi wao? Ulevi noma.
Muda aliotoka na muda tukio limetokea havipishani sana, wamebeba tukio lakini kimtindo, ndiomana hata shuhuri za mazishi hawako karibu nazo sana.
 
muda aliotoka na muda tukio limetokea havipishani sana, wamebeba tukio lakini kimtindo, ndiomana hata shuhuri za mazishi hawako karibu nazo sana
Mkuu mbona this year alikuwa anatangaza clouds nakumbuka one day ile asubuh niliwasha radio clouds nikasikia akitangaza ilikuwa alfajir.
 
Ilo panga limeondoka na akina nani wengine?..
 
Kweli watu mnachonga sana bila ya kujua ukweli, B12 anasema walikuwa wote usiku na alikunywa soda coca cola moja ambapo yeye B12 alilipa hiyo bill maana alinunua soda yake na ya marehemu.

Marehemu pia alikuwa anahype kwenye ile event ndio maana hakuwa amekunywa kilevi.

Marehemu pia alitolewa clouds na kupelekwa Times FM ambayo ni ya Kusaga pia kule alikuwa anapanga kuifufua iingie hewani kibiashara so hakuwa amefukuzwa Wala kuondoka CMG.

Marehemu alipata ajali hakuwa amelewa Bali alikuwa anaelekea kwenye biashara zake kwa mujibu wa driver ambaye ni mdogo wa marehemu ambaye nae pia ni lecturer wa TSJ.

Nachokiona labda hakuwa amefunga mkanda. Ila hawakuwa wamelewa maana pia ilikuwa mchana alikuwa anatoka home kuelekea kwenye mishe zake.

Tuache maneno wakati mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…