Fredwaa (Fredi Fidelis) forgive, forget and move on? PB imepoaaa

Nilikuwa sikosi Kusikiliza Kiss FM Weekend Top 30 kila Jumamosi na Hollywood Hamilton miaka ya 2000s.
Hahaha kipindi hiko ghetto langu nimebadika magazeti ya wanamuziki waliochambuliwa na waandishi! Kiss Fm kwenye Top 30 ilikuwa hainipiti.
 
za huko mkuu? unajua kile kipindi cha kiss fm siku ya jumamosi au jumapili (sikumbuki vizuri) mchana hivi kinakuwa na mtangazaji wa uingereza? kinaitwaje?
 
Bila shaka kipindi kiliitwa American top 40 kilitangazwa na Ryan Seacrest toka Carlifonia Marekani.Ngoma zote kali zilizokua top marekani zilipigwa pamoja na mahojiano mafupimafupi ya wasanii wa huko mbele

Andika Ryan Seacrest kwa Youtube utawapata
 
Kila jumamosi ambazo hamna mpira mzuri mida ya saa kumi hadi mbili usiku ni lazima ni tunein into KIIS FM 102.7 Los Angeles kwa internet streaming ili nimsilize Ryan Seacrest na American Top 40 (AT40)

Bado show yake ni kubwa sana duniani.
 
Bila shaka kipindi kiliitwa American top 40 kilitangazwa na Ryan Seacrest toka Carlifonia Marekani.Ngoma zote kali zilizokua top marekani zilipigwa pamoja na mahojiano mafupimafupi ya wasanii wa huko mbele

Andika Ryan Seacrest kwa Youtube utawapata
hapana, jina siyo hili, nilishawahi kulisevu sehemu ila nimesahau, ninaomba ukikumbuka zaidi nijuze mkuu
 
Duh..apumzike kwa amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…