Fredwaa (Fredi Fidelis) forgive, forget and move on? PB imepoaaa

Sijawahi muelewa alipoendaga Clouds, sijui nani alimshauri aondoke radio free na kuacha upweke kwenye "SINDANO TANO ZA MOTO" na Ile jumapili kwenye " JE, HUU NI UUNGWANA ? "
 
Kwani babra si bado yupo au unamsema fina mango?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duuuuh hata niwe na bando kiasi gan siwez na isitoshe sio taarifa zote utazipata kwenye mitandao ya kijamii kwa wakati na hata ukiipata ni juujuu tu tofauti na kwenye Radio ntasikiliza music ntapata habari na uchambuzi wa ndan zaidi
kabisa yaaani
 
walikuwa zaman sio sasa
now kunavitu vinapungua
kunakipindi nlikuwa sipati raha bila kusikiliza mawingu ila now days Ea wapo vzuri zaidi ya mawingu
EA Radio sema watu hawawazingati tuu, ila wako vizuri sana
 
Ruge hapa alikosea kabisa..RIP though

Amplifaya na Millard pekee ni bonge la show,ila sasa akiwa na Huyu dada wa Kipemba,vurugu tupu..
kabisa, haieleweki ni kipindi cha commedy au vichekesho au kero kwa wasikilizaji, yule afanye vitu vingine mule ndani, Amplifaya imekuja kuharibika sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…