Fredwaa wa Clouds Fm yuko wapi?

Matukutuku

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
269
Reaction score
126
Mbona kama wiki mbili hivi sijamsikia Fredwaa redioni .... CloudsFM na hata wenzake hawamtaji taji kama siku Babra labda hayupo au Masoud hayupo ....
 
Mbona kama wiki mbili hivi sijamsikia Fredwaa redioni .... CloudsFM na hata wenzake hawamtaji taji kama siku Babra labda hayupo au Masoud hayupo ....


Pengine walishampa unga awapelekee bondeni....subirini tu habari za hajabu toka huko.
 
Hiyo Blue ilitosha kabisa kujibu ulichoulizwa
hiyo red wewe inakuhusu nini hata ikiwa danguro kwani ni ya babaako
mkuu hiyo kwenye avatar yako wamekunyuka ban? au umeweka wewe tu? maana nakuona live online
 
Usituangaishe mpigie namba yake....Who is Freduwaa? What so special with him?

Ungeshangaa mbona sembe limepotea mtaani tungekuelewa siyo Fredwaa! Muda mwingine tufikirishe vichwa vyetu Kwa mambo ya maana unatuletea habari za Fredwaaa wabongo bwana Kama tumelaaniwa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…