AUGUSTINO CHIWINGA
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 220
- 689
Kitu unachotakiwa kukifahamu ni kwamba Frederick Mwakalebela
amekua ni mjumbe wa kamati wa kusaidia kupandisha ligi kuu timu za Njombe Mji na Lipuli Fc
.
Jambo ambalo limefanikiwa kwani timu hizo zimefuzu kucheza ligi kuu Vodacom katika msimu unaokuja.
Hilo liliwezekana kutokana na mikakati yake ya kiuongozi na utawala hivyo akiwa Rais wa TFF ataleta mageuzi makubwa katika kuziwezesha timu za mikoani kufuzu kucheza ligi kuu ya Vodacom kwa kudhibiti vitendo vya rushwa michezoni, na kila aina ya ukiritimbaunaozinyima fursa ya kufuzu ligi kuu timu za mikoani.
Sent using Jamii Forums mobile app