Ndugu wadau,
Naombeni msaada wa dhati kwa yeyote anayeweza kuwa anafahamu site for downloading free Accontancy books for free
nilikua na shida na vitabu kama:
1.IFRS Red Book Bundle (2013), Hichi kitabu kipo NBAA pale tatizo fedha ndefu (120,000/=)
yeyote mwenye ufahamu guys, Hata material ya ACCA online i will thanks alot
Mimi binafsi kwenye store yangu ya dropbox nina vitabu kadhaa vya Uhasibu, yeyote anayehitaji aweza ni PM nitamtumia link
Thanks guys in advance