Mkuu mimi nawahitaji sana askari kama hawa!
Huyu hahitaji pua, ya nini hewa yote inapitia mdomoni
Ni msikivu sana kwa size ya masikio
Hahitaji silaha, anaokoa forex, akikung'ata umekwisha
Ulimi? wa nini tena hahitaji maongezi huyu
Nikipata vijana kama hawa 50 tu, adui akiwaona wanatokea anabwaga manyanga!
Mara ya mwisho nilikutana nao kule Ivory Coast na sehemu za Mai Mai Congo