Free basic inagoma kusurf bure, tatizo nini?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Mwanzo nilikuwa hata kama sina bando nikiwa na line ya halotel naweza kuingia baadhi ya sites kama JF buree kabisa...lakini saiv inakataaa.

Nimejarib kubadili line ya mtandao mwingine nako ni holaaa!! Vp huduma imesitishwa au nini shida??

Wajuvi mnisaidie.
 
Ilifungwa kusurf bure pamoja na free FB kipindi kile cha HA Tunnel sabu zilikua zimehostiwa Cloudflare na Cloudfront ambako ndiko hosts za free internet umlizokua unatumia kwenye HA Tunnel zilikua zinapatikana hukohuko so ISPs wakaona yanini kuendelea kutoa huduma ya freebasics na free facebook wakati mna uwezo wa kununua MB [emoji23][emoji23][emoji23]...
 
Nimekupata bosi
 
Back
Top Bottom