Free Cisco IT Networking, Cyber Security and Programming courses

Teknocrat

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
4,967
Reaction score
11,056
Hizi courses ni bure, unatakiwa tu kujisajili
Hapa lazima unatoka uko bomba kabisa na ulichokisomea


IT NETWORKING



CYBER SECURITY


END POINT SECURITY


CYBER SECURITY MANAGEMENT


INTRODUCTION TO DATA SCIENCE


JAVASCRIPT ESSENTIAL 1&2


PYTHON ESSENTIAL 1&2


 

Attachments

  • 1714838426743.png
    100 KB · Views: 18
Ubarikiwe sana haya ndiyo mambo tunayotaka
 
Ila Mkuu networking ya theory kweli?
Kwenye networking unapewa access ya kudownload Packet Tracer bure , hii app kubwa sana duniani kujifunza
IT networking.
Ni kama vile uko unacheza na vifaa vyenyewe kiuhalisia
Anza na hii course, pia ni bure, inakufundisha jinsi ya kutumia hio app ya Packet Tracer

 
shukrani sana
Nimeangalia hizo nondo za course ya networking hata vile vicentre mshenzi mjini havifiikii content, yaani ukimaliza hii unaweza hata kufungua goli lako la kuwafungia watu wenye viofisi vidogo vya computer kadhaa
Lakini hamna watu hata wenye kutaka kujifunza halafu kutwa humu wanauliza nitaanzaje kujifunza mambo ya IT
 
Kwa sisi tusio na msingi wa IT vipi hii itatufaa?
Au tunaweza kuanzia wapi kutoka kwenye hii link?
 
Kwa sisi tusio na msingi wa IT vipi hii itatufaa?
Au tunaweza kuanzia wapi kutoka kwenye hii link?

Nimeingia humo baada ya kutengeneza akauti, hii course ya networking, yaani wanaanzia mwanzo kabisa ili kwa mtu asiyejua chochote kuhusu IT anajifunza tokea mwanzo kabisa
 
Nimeingia humo baada ya kutengeneza akauti, hii course ya networking, yaani wanaanzia mwanzo kabisa ili kwa mtu asiyejua chochote kuhusu IT anajifunza tokea mwanzo kabisa
Ooh shukran sana, ngoja niingie kuperuzi then nikate shauri chap.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…