Free Cisco IT Networking, Cyber Security and Programming courses

Najaribu kuingia zinagoma msaada tafadhali
 
Tuleteeni mrejesho kwa wale mlioanza kujifunza
 
Naona wamerejea kwa fundi mitambo...
Wakirudi, wanakuwa na hadhi zaidi ya kutumia mtandao mkubwa zaidi wa NetCad
Tuvute subira....


 
Haazifunguki mpaka mwisho
 
Haazifunguki mpaka mwisho
Tovuti yao iko kwenye matengenezo kuanzia 22th mpaka 26th huu mwezi
Tuvute subira, na wakirudi hizi kozi zinakuwa kwenye mtandao mkubwa zaidi wa Cisco unaoitwa Netcad
Wakirudi usichelewe, maana huwa wanatoa kozi za bure zile deep kwa muda maalumu, kama hizo zilianza March 2024 mpaka March 2025 ndio mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…