Inatakiwa iwe CORRUPTION-FREE ZONE..yaani sehemu isio na rushwa.Wakuu samahan, kuna jambo linanitatza hvyo nmeona nililete umu...
Nini tofaut ya haya maneno ... "FREE CORRUPTION ZONE" v/s "HATUPOKEI RUSHWA HAPA" unapoyakuta yameandikwa ktk vibao vilivyobandkwa ktk ofc n majengo ya serikali hususan ofc za serikal ztoazo huduma kwa jamii....
Maneno hayo yana maana tofaut? Au, yote yana maana sawa kwamba rushwa haipokelew ktk eneo husika?
Sent using Jamii Forums mobile app