Free Engeneering and Science Notes

Teknocrat

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
4,967
Reaction score
11,056
Notes zotePhysics, Engineering na Science bure, agalia link hapo chini, notes zote zipo upande wa kushoto kwenye page hii page

Untitled 1


 

Attachments

  • 1591981444003.png
    103.7 KB · Views: 47
Nimewawekea wadau link ya notes kibao za physics na engineering za kwanini zimetolewa, nataka jibu nyie mods
Untitled 1
 
hii ni bure bure kabisa notes zote ni bure
ziko upande wa kushoto uki ckick zinakuja bure kabisa
hii website tulipewa university kutumia bure
au IP address ya bongo haifungui ?
 
Mfano
Angalia title THE DYNAMICS OF MECHANICAL SYSTEMS D225
nime click list ya kushoto
inakuja kwenye main page
nikichagua LINEAR AND ANGULAR MOTION
Inakuwa blue highlighted
ni clickhii napata pdf
 
Mfano
click CONTENT BY CLASS



inakuja hii chini





chagua mfano Electrical Engineering inakuja hii, nime highlighted blue RESISTORS, ni ALFA ya elimu ya umeme, alifu kwa kijiti,
ni PDF kwa kwenda mbele kwenye hizo "drop down link"




Yaani hapa
Ni utakesha na notes zote bure
wewe tu na bundle lako
 
niwekee link hiyo ya kulipa niione
screenshot

link za kulipia ni kama unataka kufanya mtihani
hii website ni ya charity , hata wanawaomba watumiaji kuchangia kwa hiari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…