Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli inatosha wewe kumwambia huyo Mwanaume wa Darweng wameona ww ni kama mweu ila wamenichagua nifikishe ujumbe
Pliese dont any man and wife ok?how are you now?Unatakiwa utumia akili dadangu haswa ukiwa katika mtandao wa jf.
kwanza kabla ya kusoma post,angalia post imepostiwa jukwaa gani.
pole sana maana waligundua kuwa wewe huwa hautumii hata akili ya kuzaliwa acha ile ya darasani ambayo hujawahi kuitumia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pliese dont any man and wife ok?how are you now?
Hili ni jukwaa la jokes.Kwa nini ushupaze mishipa ya mapaja kwa mambo ya utani?You're such a joke,yourself!!!This guy is on transition period (adolescence) b'coz there is both Childish and some elements of adultish on him!
Mkuu,kwa tabia walizoonesha ina maana hata watoto wakichokozana katika michezo wao watajinunisha miaka minne!Yaani kuna watu wana akili ila hawajui mahala pa kuzitumia!
Sasa povu la nini ikiwa hili ni jukwaa la vichekesho?
DooohDirection:
....snake one by one then... (nyoka moja kwa moja kisha....!
Yaan.. Umemjibu vzur... Mada husika na hili jukwaa ni vitu vinavyoendana kabisa.Unatakiwa utumia akili dadangu haswa ukiwa katika mtandao wa jf.
kwanza kabla ya kusoma post,angalia post imepostiwa jukwaa gani.
pole sana maana waligundua kuwa wewe huwa hautumii hata akili ya kuzaliwa acha ile ya darasani ambayo hujawahi kuitumia