Nxt Millionaire
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 406
- 89
<br />Yapu mambo ya forever living hayo. Mkuu mimi nakuaminia kwa kuitangaza forever living uko juu sana utazani wewe ndo ceo wa forevel living.<br />
Tatizo lenu ni moja biashara zote hapa duniani waga mnaona c biashara na forevel living ndo biashara pekee hapa duniani
Yapu mambo ya forever living hayo. Mkuu mimi nakuaminia kwa kuitangaza forever living uko juu sana utazani wewe ndo ceo wa forevel living.
Tatizo lenu ni moja biashara zote hapa duniani waga mnaona c biashara na forevel living ndo biashara pekee hapa duniani
[h=2]
Wengi wanadhani Sitta anasema kweli, weye je?
[/LIST]
ntakuja.nmeshajua ni wapi mkuu so sihitaji unielekeze.venue millenium tower ghorofa ya pili.itakuwa j2 kuanzia saa nne asubuhi.ntakuja na hela ya kununulia bidhaa nikaitangaze.asante kwa taarifa.mia
Yapu mambo ya forever living hayo. Mkuu mimi nakuaminia kwa kuitangaza forever living uko juu sana utazani wewe ndo ceo wa forevel living.
Tatizo lenu ni moja biashara zote hapa duniani waga mnaona c biashara na forevel living ndo biashara pekee hapa duniani
naona umeamua kuingiza siasa .... hii itapelekea watakaosoma bandiko lako kupuuzia .... stick to your intention, kuvutia watu kuhudhuria workshop ..... na si kutoa maneno ya dharau dhidi ya wachangiaji
nyie foreverliving kunakitu kimoja huwa na pingana na nyie, niliwahi kuhudhuria semana yao hapa arusha kwenye jengo la blueerock.
1- wanapondea sana aina nyingine zote za biashara na wanaamini network marketing ya foreveliving ndo biashara pekee. Mimi wangekuwa wanasema watu waapy hii network marketing kwenye biashara zingine ningewaona wa maana sana.
But hii yakuamni kwamba biashara ni forevaliving pekee yake sikubalinani nayo hata kidogo