AFRIMEC ni huduma mpya inayokupa medical consultation mbalimbali ambapo utaweza kuwasiliana na madaktari bingwa katika kada tofauti tofauti kupitia katika mtandao wa internet na utaskilizwa na kuhudumiwa na madaktari wetu wenye weledi na taaluma ya kutosha:
Share katika makundi mengine ili kila mtanzania anufaike na huduma hii tembelea like page utakua tayari unaweza kuongea na daktari muda wowote .