Mimi sitaki kucheka, nataka nianze kunywa kidogo kidogo, matenki makubwa mazito mno๐Ukiyatumia utajua raha yake yanakimbia saaaana weeeee hujui waulize wakongwe. Cc6000 siyo ishu si unajua tuna tank ndani km Moooooomboooooooooo.
Sehemu kama hizi uwe unanitag ๐Waache wanachangamsha kijiwe
Nimemiss unavyokiwashaga!Sehemu kama hizi uwe unanitag ๐
Weee gari kubwa ikiwashwa tuu shaaaaaaaaMimi sitaki kucheka, nataka nianze kunywa kidogo kidogo, matenki makubwa mazito mno๐
Siku hizi napenda sana amani ๐๐Nimemiss unavyokiwashaga!
Sijakuzoea hivyoSiku hizi napenda sana amani ๐๐
Nimebadilika tabia ๐๐Sijakuzoea hivyo
Bwashee kwamba naweza anzisha mada nikaogopa kurudi?๐ ๐ ๐Jazia nyama kuwa siku ya mwisho alionekana akiwa amelewa.
Akaanzisha Mada ambazo kesho yake baada ya kuwa sober akajiuliza mara mbili mbili.
Anko ndio wewe umepita hapa bagamoyo road na subaruBwashee kwamba naweza anzisha mada nikaogopa kurudi?๐ ๐ ๐
Bwashee ๐ ๐ mnapenda mtu ateseke ๐คฃ ngoja leo nilewe vizuri niwape stress gademitt ๐Alizoea kunywa banzoka๐๐๐ sasa yamemkuta huko. Dadeki
Bwashee subaru ni kitu gani?Anko ndio wewe umepita hapa bagamoyo road na subaru
ile gari yako ya blueBwashee subaru ni kitu gani?
Ile ni ya mfanyakazi wa kwa ng'ombe bwashee ๐คฃ asee nishasahau hata hizo brand za kipumbavu za magari๐ile gari yako ya blue
Kuna wajinga wanasema ulishindwa kulipa bill ukafungiwa stoo ya vinywajiNipo bwashee, nilikua bize kidogo ,now nao ndio nimepata hata mda wa kuchamba koromeo kidogo ๐บ๐บ
min me laughed at your comment.Wabongo bhana mnaweza kukorofishana kwa ishu ndogo kabisa kwenu hakuna joke's wala nini ni kama wale wazee akifika home TV inazimwa Baba kaja..
๐๐๐ labda kama ubongo wangu utakua umestop kufanya kazi tena bwasheeKuna wajinga wanasema ulishindwa kulipa bill ukafungiwa stoo ya vinywaji
Fuso tandamu dabo difu min -me asisahau tu kuvaa yale manailoni๐ yuko mapumziko na kimwana mmoja hatari Sana black beautyView attachment 3660981