Kozi za bure kutoka Open Univesity na unapewa cheti cha kushiriki mafunzo
Fungua account ni bure
Pendeni kujisomea kwa ajili ya CPD- Carrier Professional Development, hivi vyeti kama unatafuta kazi vitakuongezea uzito hata kama una kadgree kako.
Aiseee!!!
Labda sijui ni lugha ndio tatizo
Kuna hawa wamemaliza chuo kabisa lakini hii lugha imewashinda kabisa, walipita kimungumungu, hata mfano hai tunao............
Pia kuna mentality mpaka mwalimu awe mbele ya darasa ndio elimu