Free Photos

internet ni sehem unayoweza kupata kila kitu, lakini ukiingia bila kujua unachokihitaji unakuwa kama mtoto wa secondary school anayeenda net kusurf tu emlesli! hajui anatafuta nini yeye anasearch tu bila uelekeo maalumu. asilimia 98 ya images katika mtandao zinaweza kukopiwa! mtu anapoamua kuanzisha site yake anakuwa specific na mahitaji flani ya watu.....sasa wewe muhitaji hata unaposearch lazima uwe na key words ambazo zina represent mahitaji yako.....kama vile free screen server n.k unapokuwa HAUJUI ni picha gani unazohitaji ili watu wakusaidie address inakuwa ni kama kuwasumbua wadau wa JF! Katika internet lazima uwe SPECIFIC. sasa sema picha gani unataka ili usaidiwe
 
Getty Images, AFP, AP, Reuters wote hao wanatoa Royalty Free Images kwa sharti moja uacknowledge source ya picha.
 

Mental retardation is a generalized disorder, characterized by significantly impaired cognitive functioning and deficits in two or more adaptive behaviors.
 
Kwenye GOOGLE type the following:
stock photos OR photography Telecom OR restaurant OR engineering

Keyword muhimu hapo ni stock. You may want to include the keyword free



EDITED
http://www.linkedin.com/answers/marketing-sales/graphic-design/MAR_GRD/562600-32187583
 
najua wewe unahitaji picha za ngono tu kaka sema wazi tuelewe kwani kwa oni langu mimi picha za bure kivipi kujipiga au za watu wengine? ok JF pia kuna picha kibao pia search free photo utapata asante
 
mental retardation is a generalized disorder, characterized by significantly impaired cognitive functioning and deficits in two or more adaptive behaviors.

TEH TEH! no comment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…